Katika matini
- Veneci – Venecia
- Sankt-Mark – Mtakatifu Marko
- placo – uwanja
- milito – vita
- maro – bahari
- ŝipo – meli
- gondolo – gondola
- movi – kusonga
- mezo – katikati
- proksima – karibu
- granda – kubwa, mkuu
- oni – mtu kwa jumla
- facila – rahisi
- lumo – mwanga
- flanko – upande
- Stefan – Stefan
- krii – kupiga kelele
- turko – Kituruki
- renkonti – kukutana
- sekvi – kufuata
- Pietro – Pietro
- koni – kujua
- akvo – maji
- tiel – hivyo
- Ĝorĝo – Ĝorĝo
- preni – kuchukua
- estro – kiongozi, mkuu
- preskaŭ – karibu
- morti – kufa
- grava – muhimu
- Ĝino – Ĝino
- halti – kusimama
- apud – karibu na
- dek – kumi
- jaro – mwaka
- koloro – rangi
- Jakopo – Jakopo
- tial – kwa sababu hiyo
- timi – kuogopa
- sendi – kutuma
- doĝo – doji
- bezoni – kuhitaji
- pagi – kulipa
- er – kipande, chembe
- afero – jambo
- se – kama
- pano – mkate
- Don Kamilo – Don Kamilo
- ĝis – mpaka
Mengine zaidi
- konsenti – kukubali
- laŭta – sauti kubwa
- proksimume – takribani
- publika – umma
- punkto – nukta
- sata – kushiba, kuridhika