Reklamo: Venu al la Universala Kongreso en 🇦🇹 Aŭstrio, 1–8 aŭg. 2026

Katika matini

  • dormi – kulala
  • suno – jua
  • subita – ghafla
  • ek – mwanzo wa tendo, ghafla
  • salti – kuruka
  • ĉiam – daima
  • frua – mapema
  • hodiaŭ – leo
  • meti – kuweka
  • – kitu halisi
  • kuri – kukimbia
  • laŭ – kulingana na
  • homo – binadamu
  • kia – wa aina gani
  • saĝa – busara
  • knabo – mvulana
  • baldaŭ – hivi karibuni
  • it – tendwa uliopita
  • nek – wala
  • pensi – kufikiri
  • diablo – shetani
  • memori – kukumbuka
  • dimanĉo – Jumapili

Mengine zaidi

  • akvo – maji
  • atendi – kungoja
  • – hata
  • ĝis – mpaka
  • krii – kupiga kelele
  • lasi – kuacha
  • mem – mwenyewe
  • momento – wakati
  • nokto – usiku
  • poŝto – posta
  • ridi – kucheka