Katika matini
- Maja – Maja
- et – ndogo, ya upole
- ul – mtu
- tri – tatu
- ig – kusababisha
- sana – afya
- alta – juu
- temperaturo – joto
- resti – kubaki
- morgaŭ – kesho
- voki – kuita
- doktoro – daktari
- je – kwa, saa
- naŭ – tisa
- horo – saa
- por – kwa ajili ya
- helpi – kusaidia
- montri – kuonyesha
- piedo – mguu
- vesti – kuvaa
- ĉio – kila kitu
- fine – mwishowe
- semajno – wiki
- sub – chini ya
- teo – chai
- mateno – asubuhi
- vespero – jioni
- deziri – kutamani
- trankvila – tulivu
- farti – kujisikia, hali
- eg – kubwa, yenye nguvu
- Karlo – Karlo
- hm – hm
Mengine zaidi
- bezoni – kuhitaji
- esperi – kutumaini
- familio – familia
- fojo – mara, tukio
- hieraŭ – jana
- hodiaŭ – leo
- infano – mtoto
- kara – mpendwa
- lando – nchi
- loĝi – kuishi, kukaa
- necesa – muhimu
- pensi – kufikiri
- peti – kuomba
- proksima – karibu
- rimarki – kutambua
- terura – ya kutisha
- tuj – mara moja
- tuta – yote
- utila – kufaa
- zorgi – kujali