Katika matini
- sinjoro – bwana, Bw.
- vendi – kuuza
- aŭto – gari
- kiu – nani
- plaĉi – kupendeza
- demandi – kuuliza
- plej – zaidi kabisa
- tiu – huyo
- ĉi – karibu hapa
- ĉiu – kila mtu, kila mmoja
- pli – zaidi
- ol – kuliko
- tre – sana
- certa – hakika
- kosti – kugharimu
- bedaŭri – kujuta
- ind – inayostahili
- aĉeti – kununua
- ĉar – kwa sababu, ili
- veturi – kusafiri
- dum – wakati wa
- tio – hicho, jambo hilo
- edzo – mume
Mengine zaidi
- aŭskulti – kusikiliza
- forgesi – kusahau
- helpi – kusaidia
- horo – saa
- jam – tayari
- jaro – mwaka
- kial – kwa nini
- komenci – kuanza
- monato – mwezi
- plena – kujaa
- sendi – kutuma
- tempo – wakati
- vivi – kuishi