Katika matini
- havi – kuwa na
- n – yambwa
- nomo – jina
- Ana – Ana
- juna – kijana
- bela – mzuri
- ge – jinsia zote pamoja
- veni – kuja
- is – wakati uliopita
- al – kwa, kuelekea
- hejmo – nyumbani
- bona – nzuri
- voli – kutaka
- u – amri
- iri – kwenda
- i – umbo la msingi la kitenzi
- saluto – salamu
- kio – nini
- vi – wewe, ninyi
- fari – kufanya
- legi – kusoma
- sed – lakini
- paroli – kuzungumza
- kun – pamoja na
- ĉu – je
- jes – ndiyo
- ŝati – kupenda
- nur – tu
- trinki – kunywa
- kafo – kahawa
- frato – kaka
- jen – tazama
- ankoraŭ – bado, tena
- varma – joto
- kuiri – kupika
- danki – kushukuru
- povi – kuweza
- ankaŭ – pia
- mal – kinyume
- rigardi – kutazama
- okulo – jicho
- vidi – kuona
- ke – kwamba
- ami – kupenda
Mengine zaidi
- demandi – kuuliza
- domo – nyumba
- facila – rahisi
- granda – kubwa, mkuu
- kia – wa aina gani
- mono – pesa, fedha
- nova – mpya
- pri – kuhusu, juu ya
- se – kama
- tre – sana
- diri – kusema