Reklamo: Venu al la Universala Kongreso en 🇦🇹 Aŭstrio, 1–8 aŭg. 2026

Tafsiri na ujibu

1. Nyumba yako ya zamani ilikuwa ya namna gani?

2. Ulisoma vitabu vipi, na je, vilikuwa vizuri?

3. Ana na Marko walifanya nini katika chumba kidogo cha Marko?

4. Je, unapenda kusoma vitabu kuhusu mapenzi?

5. Nani ataenda pamoja nawe nyumbani kwako?

6. Macho ya rafiki yako wa kike yakoje?