Reklamo: Venu al la Universala Kongreso en 🇦🇹 Aŭstrio, 1–8 aŭg. 2026

Tafsiri na ujibu

1. Ni nini kingewafurahisha wazazi wako zaidi kuliko vyote?

2. Laiti ungeenda nami mji baada ya kujifunza!

3. Ungependa kusafiri kwenda wapi ikiwa ungekuwa na pesa na muda wa kutosha?

4. Je, unapanga kusafiri kwenda Italia kwa gari, au haionekani kuwa bora zaidi kwa treni?

5. Kwa nini watu mbalimbali hueleza mawazo yale yale kwa namna tofauti?