200+ Esperantaj grupoj, trovu viajn ĉe Telegramo.org

Tafsiri na ujibu

1. Je, unataka nikuonyeshe kitabu changu kipya kabisa?

2. Unataka kula nini kesho asubuhi?

3. Marko atafika lini, saa tano au saa nane?

4. Ulitambua lini kwamba familia nzima inaniita mfadhili?

5. Je, kijitabu nilichokutumia kilikuwa na manufaa kwako?