200+ Esperantaj grupoj, trovu viajn ĉe Telegramo.org
  ki-
swali
ti-
kuonyesha
i-
isiyo maalumu
ĉi-
jumla
neni-
kukanusha
-o
kitu
kio –
nini
tio –
hicho, jambo hilo
io –
kitu fulani
ĉio –
kila kitu
nenio –
hakuna kitu
-u
mtu au kitu maalumu
kiu –
nani
tiu –
huyo
iu –
mtu fulani
ĉiu –
kila mtu, kila mmoja
neniu –
hakuna mtu, hakuna hata mmoja
-am
wakati
kiam –
lini
tiam –
wakati huo
iam –
wakati fulani, siku moja
ĉiam –
daima
neniam –
kamwe
-a
aina au sifa
kia –
wa aina gani
tia –
wa aina hiyo
ia –
wa aina fulani
ĉia –
wa kila aina
nenia –
wa aina yoyote
-e
mahali
kie –
wapi
tie –
hapo
ie –
mahali fulani
ĉie –
kila mahali
nenie –
hakuna mahali
-el
namna
kiel –
jinsi gani
tiel –
hivyo
iel –
kwa namna fulani
ĉiel –
kwa kila namna
neniel –
kwa namna yoyote
-om
kiasi
kiom –
kiasi gani
tiom –
kiasi hicho
iom –
kidogo
ĉiom –
kiasi chote
neniom –
hakuna kiasi
-al
sababu
kial –
kwa nini
tial –
kwa sababu hiyo
ial –
kwa sababu fulani
ĉial –
kwa kila sababu
nenial –
bila sababu yoyote
-es
umiliki
kies –
ya nani
ties –
ya huyo
ies –
ya mtu fulani
ĉies –
ya kila mtu
nenies –
ya mtu yeyote