Viambishi awali
- dis – kutawanya, kutenganisha
- ek – mwanzo wa tendo, ghafla
- for – mbali, kuondoka
- ge – jinsia zote pamoja
- mal – kinyume
- re – tena, kurudi
Viambishi tamati
- ad – tendo linaloendelea
- an – mwanachama wa kundi
- ar – kundi, mkusanyiko
- aĉ – maana mbaya
- aĵ – kitu halisi
- ebl – uwezekano
- ec – sifa ya kidhahania
- eg – kubwa, yenye nguvu
- ej – mahali
- er – kipande, chembe
- estr – kiongozi, mkuu
- et – ndogo, ya upole
- ig – kusababisha
- il – chombo
- in – kike
- ind – inayostahili
- ist – taaluma
- iĝ – kuwa
- uj – chombo, nchi
- ul – mtu
- um – maana isiyo maalumu