Reklamo: Venu al la Universala Kongreso en 🇦🇹 Aŭstrio, 1–8 aŭg. 2026

Tafsiri na ujibu

1. Rafiki yako wa kike ni nani?

2. Je, rafiki yako wa kike Ana anaandika sasa chumbani?

3. Je, rafiki wa baba yako anafanya kazi hotelini?

4. Kuna nini juu ya meza ya kazi katika chumba chetu?

5. Je, kuna kitabu cha kujifunzia Kiesperanto juu ya meza yako?