Katika matini
- raporti – kuripoti
- noto – noti
- aĉ – maana mbaya
- kapo – kichwa
- kiom – kiasi gani
- da – ya kiasi
- ĉe – kwa
- ludi – kucheza
- mem – mwenyewe
- tiom – kiasi hicho
- kvankam – ingawa
- tiam – wakati huo
- aŭdi – kusikia
- vorto – neno
- tuj – mara moja
- respondi – kujibu
- kara – mpendwa
- problemo – tatizo
- pri – kuhusu, juu ya
- muziko – muziki
- ridi – kucheka
- tamen – hata hivyo
Mengine zaidi
- agi – kutenda
- aperi – kuonekana
- besto – mnyama
- decidi – kuamua
- dolori – kuuma, maumivu
- glaso – glasi
- kelkaj – kadhaa
- kontraŭ – dhidi ya
- klubo – klabu
- morti – kufa
- ofte – mara nyingi
- ordo – kuamuru
- plori – kulia, kutoa machozi
- polico – polisi
- pro – kwa sababu ya
- pura – safi, halisi
- senti – kuhisi
- sovaĝa – pori
- super – juu ya
- teni – kushika
- timi – kuogopa
- trans – upande wa pili wa
- vino – divai